(IMIDACLOPRID 700GM/KG)
Insecticides
Ni kiua dudu cha majumbani na hutumika kulinda mbegu zinazoshambuliwa na wadudu waishio ardhini .Hutumika kulinda mbegu zilizopandwa au zile zilizosiwa kwenye kitalu .Hufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na matokeo mazuri yanayopelekea kupata mavuno mengi na yaliyo bora.
It is a household insecticides and is used to protect seeds that are attacked by insects living in the ground. It is used to protect the seeds that are planted or those that are planted in the nursery. It works with great efficiency and good results that lead to getting more and better harvests.
Pack | Cartoon |
---|---|
10 GM | 10 GM x 50 |
500 GM | 500 GM x 10 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!