(16Ltrs)
Implements
Ni bomba nzuri na imara kwa matumizi ya shambani, nyumbani na kwenye bustani. Ni rahisi kutumia na hazichoshi. Imeundwa vizuri sana inakuja kamili ikiwa na nozeli za aina tofauti tofauti na vipuri, na vile vile ina kuja na mkono wa chuma ambao ni mgumu,imara na unadumu kwa muda mrefu.Inaweza pia kutumika kunyunyizia sumu za magugu ili kudhibiti magugu na kunyunyizia virutubisho ili kuimarisha ukuaji wa mimea. Kinyunyizio hiki cha Lita 16 kinakuja na kifunga bomba na kifyatulio kinachoweza kurekebishwa kikamilifu. Ni bora kwa kunyunyizia vimiminika mbalimbali Mfano: Maji, Mbolea,Viuatilifu kwa mfano, viuamagugu,viuakuvu na viuadudu . Inaweza pia kutumika kwa sabuni za kusafisha dawa au matibabu ya vihifadhi. Utumiaji wa bomba hizi hautumii umeme wala mafuta katika ufanyaji kazi wake.
A good and strong knapsack sprayer for use in the farm field, home and in the garden. It is easy to use and not tiring. It is very well constructed and very simple to use. It comes complete with a nozzle tip and spare parts, as well as it's tough and durable, it’s come with heavy duty steel lance with brass nozzle. It works with manual pressure pump with a side lever. It can also be used to apply herbicidess to control weeds and spray micro-nutrients to enhance plant growth. This 16 Litre Knapsack Pressure Sprayer with shoulder strap comes with a fully adjustable nozzle and trigger lock. It is ideal for spraying various liquids E.g. Water, Fertilizers, Herbicidess and Pesticides. It can also be used for spray cleaning detergents or solvent free preservative treatments. No electricity, no fuel, just good old elbow grease. Straps onto your back and holds 16 litres of liquid for large areas.
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!