(MANCOZEB 640G/KG +METALAXYL 80G/KG)
Fungicides
Ni kiuatilifu chenye wigo mpana wa kuangamiza kuvu na magonjwa mengine kwenye nyanya na mazao mengine.Hutibu na kukinga kuvu kwenye mazao ya mashambani kama nyanya ,viazi,vitunguu mbogamboga n.k. Matumizi yake inatumika kwa 1.5kg/ha kwa kuchanganya na lita 600 za maji.
Is a broad Spectrum systemic and Contact fungicides to control a wide range of fungal diseases in agricultural crops by its dual action: preventive as well as curative. These diseases include early and late blight of tomatoes, potatoes and onions. The application rate is 1.5kg/ha per 600 Lt of water Mancostar Super 720WP.
Pack | Cartoon |
---|---|
1KG | 1KG X 20 |
500GM | 500GM X20 |
200GM | 200GM x50 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!