(GLYPHOSATE 480G/L)
Herbicides
Ni kiuagugu chenye mpenyo na uwigo mpana wa kuzuia na kuangamiza magugu na vichaka wakati wa kuandaa shamba la mazao mbalimbali. Hutumika kwa udhibiti wa aina mbalimbali za nyasi za kila mwaka na za kudumu, magugu ya majani mapana, na kwa kuandaa shamba kabla ya kupanda mahindi na mazao mengine ya shambani. Inaweza kunyunyiziwa katika hali nzuri ya hali ya hewa wakati hakuna upepo, ili kuzuia kupeperushwa kwa dawa kwenye mimea inayoshambuliwa. Inaweza pia kunyunyiziwa ili kudhibiti magugu kwenye vichochoro kati ya mimea ya mazao katika kahawa, mkonge, mizabibu, miti ya matunda na mashamba ya miwa.
Is used for control of wide range of annual & perennial grasses, broadleaf weeds, certain woody perennials and for field preparation before planting maize and other field crops. It can be sprayed under good weather conditions when no wind, to avoid drifting of spray to adjoining susceptible plants and other useful crops. It can also be sprayed to control weeds in alleys between crop plants in coffee,sisal,vines, fruits trees &sugarcane plantations.
Pack | Cartoon |
---|---|
1 Litre bottle | 1L x 12 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!