(SULPHUR 800GM/KG)
Fungicides
Ni kiua kuvu kinachopenya kwa njia ya mguso hutumika kwa mazao ya mashambani kama korosho, tufani, njegere, maharage, mbogamboga n.k. Inaweza kutumika kwa kiwango cha 50gm kwa lita 20 za maji. Ili kuandaa mchanganyiko huo, ongeza sulphowit 80% WDG kwenye tanki na ujaze hadi kiwango cha maji kinachohitajika, hakikisha kuna mtikisiko wa kutosha wakati wa kujaza kuchanganya na kunyunyiza.
Is a contact fungicides that is based on naturally occurring Sulphur. It is used for controlling scab diseases of apples, peas, cashew nuts and peaches. It consists of water dispersible granules containing 80% Sulphur.It can be applied at a rate of 50gm per 20lts of water. To prepare the mixture add sulphowit 80%WDG to the tank and full up to tne required amount of water, ensure adequate agitation duringfilling mixing and spraying.
Pack | Cartoon |
---|---|
1KG | 1KG X20 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!