Implements
Ni jembe linalokokotwa na mnyama na hutumika kugeuza udongo kabla ya kupanda. Inatumika kwa kilimo cha msingi na cha sekondari. Jembe hutumika kwa shughuli mbalimbali za shambani ambazo ni pamoja na kulima, kuweka alama kwenye mstari (kwa ajili ya uanzishaji wa mazao), na kupalilia. Wakati wa kulima, jembe la kukokotwa hukata, hupasua, hulegeza, hugeuza udongo na kufukia magugu, mabaki ya mazao na samadi. Jembe la kukokotwa na ng'ombe ni zana ya kawaida ya kulima inayotumiwa na wakulima wadogo barani Afrika.
Is farming tool that is used to turn over the soil before planting. It is used for primary and secondary tillage. The plough is used for a number of different field operations that include ploughing, row-marking (for crop establishment), ridging and weeding. During ploughing, the animal drawn plough cuts, breaks, loosens, inverts the soil and buries weeds, crop residues and manure. The ox drawn plough is the most common tillage implements used by smallholder farmers in Africa.
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!