(Bispyribac – sodium 100G/L)
Herbicides
Ni kiuagugu chenye wigo mpana katika kuangamiza magugu yote sumbufu kwenye shamba la mpunga. Ni kuuagugu kinacho fanya kazi baada ya kufyozwa na majani na mizizi. Haidhuru ukuaji au ubora wa mimea ya mpunga na pia ni salama kwa afya ya udongo. Ni kiambata amilifu chenye Bispyribac-sodiamu:100G/L ambacho kinatumika takribani siku 15 baada ya kupandwa moja kwa moja wakati wa mpunga upo kwenye hatua ya majani 3-5.
Is a selective post emergence broad spectrum herbicides for control of annual weeds, broad leaf, aquatics and grasses in rice including resistance biotype. It works after being absorbed by the leaves and roots. It does not harm the growth or quality of rice plants and is also safe for soil health. It has the active ingredient which is Bispyribac – sodium 100G/L, and is being applied about 15days direct seeded when the rice is at 4 leaves stage and weeds are 3-5 leaves stage. De water before application and then water the field 1- 2 days after application or keep wet for 4-5days. Avoid spray drift onto nearby susceptible crops. Apply no more than once for each crop season.
Pack | Cartoon |
---|---|
100mls | 100mls x 100 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!