(MANCOZEB 800GM/KG)
Fungicides
Ni kiua kuvu cha kuzuia na kukinga kuambukizwa ukungu kwenye mazao ya bustani kama nyanya, biringanya, viazi na mbogamboga. Inafanya kazi vizuri kwa kuchanganywa na maji. Lazima itumike kama dawa kama kiuatilifu cha kuzuia na kukinga kwa hivyo itumike kabla ya ugonjwa kuonekana. Inaendana na viuadudu vyote vya kawaida isipokuwa salfa ya chokaa au suluhisho la alkali.
Is a broad-spectrum control a wide range of fungal diseases in agricultural plants. These include early and late blight of tomatoes, potatoes and eggplants by its preventive action only. Must be used as a preventive spray and therefore applied before the disease appears. Is compatible with all common insecticidess except lime sulphur or alkaline solution.
Pack | Cartoon |
---|---|
1KG | 1KG X20 |
500GM | 500GM X40 |
200GM | 200GM x 50 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!