(2,4 – AMINE SALT 720G/L)
Herbicides
Ni kiua gugu chenye wigo mpana na chenye uwezo wa kuchagua magugu,kinatumika kuua magugu kwenye mashamba ya mpunga, mahindi,mtama,miwa,n.k, hususani huangamiza majani mapana na hutumika kwa maparizi kwenye mazao husika.
Is a selective water soluble herbicides for post emergence control of broad leaf weeds in wheat corn, millet, sugarcane, etc., especially it destroys broad leaves and is used for trimming on the relevant crops.Can be applied when soil is moist but not during rain or drought.
Pack | Cartoon |
---|---|
1 Litre bottle | 1L x 12 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!