(CHLOROTHALONIL 720G/L)
Fungicides
Ni kiua kuvu chenye wigo mpana wa kukinga kuvu kwenye mazao mbalimbali kama vile, nyanya ,viazi,kahawa na maharage kiuatilifu hiki hukinga na kuzuia magonjwa inapopuliziwa kabla ya mmea haujaathirika na ugonjwa. Kiambata hiki hufanya kazi kwa njia ya mguso.
Is a broad – spectrum contact fungicidess for control of early and late blight on tomatoes, potatoes, coffee and French beans. This fungicides protects and prevents diseases when sprayed before the plant is affected by the disease. This agent works through contact.
Pack | Cartoon |
---|---|
1 Litre | 1L x 20 |
500 ML | 500 ML X20 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!