(2,4 -D AMINE SALT 720G/L)
Herbicides
Ni kiuagugu chenye wigo mpana wa kuzuia na kuangamiza magugu mapana na vichaka kwenye mashamba ya mahindi, ngano,mpunga ,miwa na mtama. Inaweza kutumika kabla na badaa wakati udongo una unyevu lakini si wakati wa mvua au ukame, na wakati wa kupulizia mifugo inatakiwa kuwekwa mbali na malisho kwa angalau siku 21.
Is a selective herbicides for post emergence control of broad leaf weeds in wheat, millet, sugarcane and maize. It can be used at pre/post -emergence when soil is moist but not during rain or drought, and when spayed livestock should be kept away from pastures for at least 21days.
Pack | Cartoon |
---|---|
1 Litre | 1L x 12 |
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!