(NITROGEN -21% +SULPHUR- 24%)
Fertilizer
Ni mbolea yenye asili ya chumvi chumvi, hutumika kukuzia mimea ya mazao mbalimbali kama vile mahindi, maharage n.k. Ina nitrojeni ya ammoniakali na salfa inayoweza kuyeyuka katika maji. Nitrojeni iko katika mfumo wa amonia, ambayo hupunguza hatari ya kuvuja wakati wa mvua. Mbolea hii hutumika zaidi katika kilimo na kwenye nyasi na mimea inayohitaji salfa nyingi ( mahindi na viazi).
Ammonium sulphate contains ammoniacal nitrogen and water-soluble sulphur. The nitrogen is entirely in the form of ammonium, which reduces the risk of leaching during wet periods. This fertilizer is mainly used in arable farming and on grassland on crops that need a lot of sulphur (e.g. maize and potatoes). It is a salt-based fertilizer, used to grow various crops such as corn, beans, etc.
Lorem ipsum dolor sit amet consectetur, adipisicing elit. Nobis repellat debitis ea!